Sunday, December 11, 2011

Invite to you all

ndugu zangu, mabibi na mabwana, natoa mwaliko rasmi katika graduation yangu itakayofanyika tarehe 17 dec 2011, katika viwanja vya Uhasibu Kurasini kuanzia saa 7 mchana. karibuni wote.

No comments:

Post a Comment