Saturday, September 17, 2011

Getting Started

Hapa panapo majaaliwa ya Mungu, tutakuwa tunapost mambo mbalimbali yanayowahusu hasa wahasibu na wagavi. mambo hayo yatajumuisha masuala ya taaluma(kwa wale ambao wanajiendeleza zaidi), nafasi za kazi husika, jinsi ya kuandaa CV na Barua nzuri za maombi ya kazi, maandalizi na maswali ya interviews reading materials na mtiririko mzima wa syllabus za maeneo hayo bila kusahau mambo ya CPA na CSPS. Ni matarajio yangu na ya wengi tutakuwa tunapeana taarifa mbambali zenye manufaa kwetu sote hasa kwa wale ambao bado wapo masomoni na waliokatika harakati za kutafuta kazi na kujipanga zaidi kimaisha. Kwa heshima ya Profession hizi nna imani ukurasa huu utakuwa ni wa kistaarabu na wa maendeleo zaidi. Mungu iBARIKI Tanzania, Mungu wabariki wana taaluma wetu.

No comments:

Post a Comment